Aliyewahi kuwa mshauri wa Rais Donald Trump ‘Roger Stone.’ amesema yupo
mbioni kumshawishi mcheza mieleka maarufu duniani na mwenye ushawishi
mkubwa Terry Bollea Aka Hulk Hogan kugombania U-Senator wa Florida kwa
tiketi ya Republicans dhidi ya Bill Nelson wa Democratic.
Hulk Hogan hajawahi kutamani kuingia kwenye siasa ila 1998 Hulk alisem anataka kuwa rais wa Marekani.
Brooke Hogan ’29’ amesema anapenda zaidi baba yake akiwa mcheza mielka kuliko mwanasiasa.
Hulk Hogan amewahi kuwa bingwa wa mieleka wa dunia mara 6 chini ya WWF Na WWE.
0 comments:
Post a Comment