Tuesday 16 January 2018

Ndege za kijeshi za Uingereza zaruka kwa dharura kujihami

Ndege mbili za kivita za Uingereza jana ziliruka kwa dharura ili kuzifuata ndege mbili za Russia zilizokuwa zinaikaribia nchi hiyo, lakini tukio hilo lilimalizika baada ya kuthibitisha kuwa ndege za kuangusha mabomu za Russia hazikuingia kwenye anga ya Uingereza. Upande wa Russia haujatoa maoni yoyote kuhusu tukio hilo.

0 comments:

Post a Comment