Thursday 18 January 2018

Serikali kuanza mazungumzo na kampuni ya Tanzanite One


Seikali kupitia Kamati iliyoundwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kuchunguza biashara ya madini ya Tanzanite imeanza kufanya mazungumzo na kampuni ya Tanzanite One.

0 comments:

Post a Comment