Chama
cha riadha nchini Tanzania RT kimethibitisha kuwa, nyota wa riadha Alphonce Felix Simu atajumuishwa katika kikosi
cha timu ya taifa kitakachokwenda kushiriki michuano ya jumuiya ya
madola itakayofanyika mwezi April mwaka huu nchini Australia.
Akizungumzia sababu, katibu mkuu wa RT, Wilhelm Gidabuday, amesema
Simbu aliomba kwenda kushiriki mashindano makubwa ya dunia ambayo
yanatarajiwa kufanyika nchini Hispania mwezi machi mwaka mjini Valencia.
0 comments:
Post a Comment