Vikosi vya serikali ya Syria
vimepambana na kundi la LLC lenye uhusiano na Al-Qaida kwenye sehemu za
kusini na kaskazini magharibi mwa Syria, baada ya kundi la Islamic State
kupoteza ngome zake zote nchini Syria. Kundi la LLC ambalo pia
linajulikana kama Nusra Front, limepoteza ngome yake ya mwisho mjini
Beit Jin magharibi mwa mji wa Damascus, kufuatia jeshi la Syria
kuendeleza ushindi dhidi ya kundi hilo kwenye maeneo yaliyo karibu na
mpaka wa Lebanon
0 comments:
Post a Comment