Meya wa jimbo la Atlanta nchini Marekani amemchagua msanii TI na wengine 38 kama washauri wake katika kulenta maendeleo jimboni hapo.
Hatua hiyo ameichukua baaada ya kuchaguliwa kwa kishindo na timu iliyokuwa chini ya mwanamuziki TI huku akiweka nia ya kupambana na ufisadi na uboreshwaji katika huduma ya elimu jimboni hapo.
Kupitia ukurasa wake wa tweeter meya Bottoms ameandika
“I am grateful to announce this 38-strong transition team. It represents a tremendous amount of diversity and depth, and really the best and the brightest in the city of Atlanta,” Bottom.
Waliochaguliwa katika kumshauri ni pamoja na TI, Killer Mike, Ron Clark from the Ron Clark Academy, Raphael Warnock kutoka Baptist Church, CEO na mwenyekiti UPS na CEO wa Delta Airlines Inc.
0 comments:
Post a Comment