Saturday 13 January 2018

Wanawake wakisaudia waruhusiwa kuhudhuria mechi za viwanjani


Serikali ya Kifalme nchini Saudi Arabia imeamua kuondoa marufuku na kuwaruhusu Wanawake kuhudhuria viwanjani kutazama Mchezo wa Mpira wa Miguu.

Katazo hilo lililodumu zaidi ya miongo minne limekuwa faraja kwa wananchi nchi humo, vilevile
Wanawake nchini humo wameruhusiwa kuendesha Magari kuanzia mwezi Julai mwaka huu

Ukiwa ni Mkakati  madhubuti katika kukuza usawa wa kijinsia kati ya Wanaume na Wanawake.

0 comments:

Post a Comment