Thursday 4 January 2018

Wizi wa Punda waongezeka Afrika


Wizi wa Punda waongezeka baada ya kubainika kuwa Ngozi yake hutumika kutengeneza dawa ya kuongeza nguvu za kiume.

Ngozi hiyo pia hutumika kutengeneza dawa ya kupunguza uzee, kuzuia ugumba, kuharibika kwa mimba na kusawazisha hedhi kwa wanawake
 
 Tanzania imeungana na nchi nyingine za Afrika kama vile Uganda, Botswana, Niger, Burkina Faso, Mali, na Senegal kupiga marufuku biashara ya kuuza punda kwasababu unatishia kutoweka kwa wanyama hao ambao watumiwa na watu wengi Kwani shughuli za kiuchumi ikiwemo kusafirisha mizigo na kulima.

0 comments:

Post a Comment