Licha ya kupoteza mechi yake,
Arsebal imefanikiwa kusonga mbele katika ligi ya klabu bingwa ulaya
(UEFA Europe League) baada ya kukubali kichapo cha goli 2-1 toka kwa
Ostersund fc ya Sweden. Arsenal imefuzu hatua ya 16 bora ya ligi hiyo
kwa faida ya kufunga magoli mengi ugenini katika mchezo wa kwanza ambao
ulimalizika kwa Arsenal kupata ushindi wa goli 3-0 hivyo wanafuzu kwa
ushindi wa magoli 4-2.
0 comments:
Post a Comment