Chance The Rapper ni msanii aliyejidhatiti katika kutoa msaada kwa mashabiki wake katika jumuiya anayoishi jambo hili linamfanya kupewa tuzo ya heshima katika tuzo za IHeartRadio Music Awards ya mwaka huu.
Kwa mujibu wa mtandao wa billboard, Chance The Rapper atapewa tuzo hiyo ya heshima kutokana na kutambuliwa kwa mafanikio yake makubwa katika sekta ya muziki na mchango wakewa kujitoa kwa sababu za kijamii.
Chance ameendelea kushikilia msimamo wa ahadi yake kwa vijana na elimu kwa njia ya shirika lake la kijamii kama alivyochangia pesa zake nyingi.
ITAZAME VIDEO YA MOJA YA NYIMBO YAKE
Same Drugs from the Grammy Nominated Coloring Book, featuring vocals from Chance The Rapper, Eryn Allen Kane, Yebba, John Legend, Francis Starlite and Macie Stewart. Directed by Jake Schreier
0 comments:
Post a Comment