Tuesday, 20 February 2018

Mchekeshaji Emmanulla apata dili moto Disney


Mchekeshaji mwenye umri mdogo (miaka 7) kutoka Nigeria, Emmanuella Samuel, jana kupitia ukurasa wake Instagram amtangaza rasmi kupata fursa mpya ya kwenda Marekani katika kaika moja ya kampuni kubwa ya uigizaji ya Disney,Hollywood.

Ndani ya ujumbe wake huo ameonesha furaha aliyonayo vilevile na kushukuru mashabiki wake wato waiofanya mpaka yeye kufika hapo."Sikuwahi ota nitafika hapa mapema hivi"

0 comments:

Post a Comment

Throne