Mwanamziki chipukizi Nack Plankton aachia audio ya kibao chake kiendacho kama 'Kamwambie', kijana huyo ameonesha kipaji cha hali ya juu kama msanii chipukizi kwa kuandaa kibao hicho kama vile amekaa kwenye game kwa miaka 10.
Unaweza ukampata kupitia Facebook anatumia Nack plankton,instagram nackplankton, Simu 0679225226 na 0769916537
BONYEZA LINK
Download | Nack plankton – Kamwambie
0 comments:
Post a Comment