Sunday 18 February 2018

Rais amlilia Akwilina,alitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka




Rais Magufuli amesikitishwa na kifo cha Mwanafunzi wa NIT, Aqulina Akwilini aliyepigwa risasi ktk Maandamano ya CHADEMA.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter ameviagiza Vyombo vya Dola kuchunguza tukio hilo na kuwachukulia hatua waliohusika kusababisha kifo hicho

Pia ametoa pole kwa Familia, Ndugu, Wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT) na wote walioguswa na msiba huu

0 comments:

Post a Comment