Real Madrid imevutwa shati kwa mara nyingine baada ya jana kufungwa 1-0 katika mechi ya ligi kuu dhidi ya Espanyol.
Katika mechi hiyo ambayo kocha Zidane alimpumzisha Ronaldo, goli la Espanyol lilipatikana kunako dakika ya 93 kupitia Gerard Moreno.
Mpaka sasa vinara wa ligi hiyo Barcelona wenye pointi 65, wameiacha Madrid kwa alama 14 na wakiwa na mechi moja mkononi.

0 comments:
Post a Comment