SHIRIKISHO la mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) limesema huenda likapewa fursa ya kuandaa michuano ya mabingwa Afrika iwapo litafanya vizuri katika mashindano ya vijana ya kimataifa wa chini ya miaka 18 mwezi Juni mwaka huu.
Pia, iliwahi kuwa mwenyeji wa Majiji Afrika na kufanikiwa. Akizungumza Rais wa TBF, Phares Magesa amesema iwapo watafanikiwa kuandaa mashindano hayo yote makubwa itakuwa faida kwao kama chama na taifa kwa ujumla.
0 comments:
Post a Comment