Tuesday 27 February 2018

Rosa Ree amzimikia Khaligraph Jones kimuziki


Msanii wa muziki Bongo, Rosa Ree amefunguka jinsi anavyovutiwa na uwezo wa kimuziki wa rapper kutoka nchini Kenya, Khaligraph Jones.
Akizungumza na moja yakituo cha redio rossa ree amesema kuwa kuwa amekuwa karibu na Khaligraph Jones kutokana anamshawishi kufanya vitu vikubwa katika muziki wake.
Mwaka jana Rosa Ree alimshirikisha Khaligraph Jones katika remix ya ngoma yake inayokwenda kwa jina la One Time. Rosa Ree kwa sasa anatamba na ngoma ‘Marathon’ aliyomshirikisha Bill Nass.

0 comments:

Post a Comment