Gazeti moja nchini
Kenya limeomba msamaha kwa kuchapisha tangazo la mazishi ya mfadhili
maarufu wa muungano wa upinzani nchini humo licha ya kuwa hai.
Gazeti
la Daily Nation lilisema kuwa limechapisha tangazo la ''kifo'' cha Jimi
Wanjigi kimakosa na kwamba lilikuwa linashirikiana na maafisa wa polisi
kubaini aliyechapisha tangazo hilo.Makundi ya haki za kibinaadamu yamesema kuwa tangazo hilo ni sawa na kutoa vitisho vya mauaji.
0 comments:
Post a Comment