Wednesday 14 February 2018

Zari amwaga Diamond siku ya Valentine

Mzazi mwenza wa msanii Nsibu Abdul (Diamond Platnumz) Zarinah Hassan(Zari) ametangaza kuvunja rasmi mahusiano yake ya kimapenzi na Staa huyo.

Amethibitisha hayo kupitia ukurasa wake Mtandao wa kijamii wa Instagaram, Zari amesema kilichompelekea kufanya hivyo ni kutokana na Diamond kutokuwa mwaminifu kwenye mahusiano

ikumbukwe kuwa Diamond na Zari wana watoto wawili ambao ni Tiffa na Nillan.

0 comments:

Post a Comment