Wednesday 14 March 2018

'A Boy from Tandale' KUJA KIPEKEE LEO, OMARION NDANI YA UZINDUZI


Staa wa muziki nchinj Naseeb Abdul A.K.A Diamondplatnumz Leo anazindua rasmi albamu yake iliyokuwa ina subiriwa kwa muda mrefu ya 'A boy from Tandale' nchini Kenya.

 
Uzinduzi wa albamu hiyo utafanyika kwenye ukumbi wa Kenya Theatre,huku Diamondplatnumz akiambatana na kundi lake la WCB.
.
Katika uzinduzi huo pia staa wa RnB kutoka Marekani Omarion ni moja kati ya wasanii watakaotumbuiza.

0 comments:

Post a Comment