Saturday 31 March 2018

Afungwa maisha jela kwa kumbaka mtoto(9)



 Mahakama  nchini Kenya imemhukumu Shadrack Majimbo(42), kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka Mtoto wa miaka 9

Aidha, ripoti ya Daktari pia imethibitisha kuwa Mwanaume huyo alimuambukiza Mtoto huyo magonjwa ya zinaa

 Mwanaume huyo ni rafiki wa karibu wa familia ya Mtoto huyo. Siku ya tukio alimuata Mtoto huyo ili amsaidie kazi ndogo ndogo ndipo alipomfanyia ukatili huo

0 comments:

Post a Comment