Saturday 31 March 2018

UINGEREZA-Apata maambukizi ya kisonono sugu



Mwanaume 1  nchini Uingereza apata maambukizi ya Kisonono yasiyotibika baada ya kujamiiana na Mwanamke kutoka Kusini Mashariki mwa Asia.

Tiba ya ugonjwa huo ni dawa ya azithromycin na ceftriaxone lakini zimeshindwa kutibu maambukizi ya Mwanaume huyo. Mwanamume huyo alipatwa na mambukizi hayo mapema mwaka huu (2018). 


 Maafisa wa Shirika la Afya Duniani wanamtafuta Mwanamke huyo ikiwa ni jitihada za kujaribu kuzuia usambazaji zaidi wa maambukizi hayo ya hatari.

0 comments:

Post a Comment