Klabu ya Arsenal ikiwa katika
uwanja wake wa nyumbani, imekubali tena kichapo cha mabao 3-0 dhidi ya
Manchester City katika mchezo wa ligi.
Arsenal iliingia na kumbuku za kupoteza mchezo uliopita kwa kufungwa
idadi ya mabao hayo hayo, huku matarajio ya mchezo dhidi ya Manchester
City yakiwa ni kulipiza kisasi japo matokeo yameenda sivyo.
Manchester City sasa imezidi kujiweka kileleni mwa msimamo wa ligi kwa kufikisha alama 75 kwenye nafasi ya kwanza huku Arsenal ikiwa nafasi ya 6 na alama 45.
Manchester City sasa imezidi kujiweka kileleni mwa msimamo wa ligi kwa kufikisha alama 75 kwenye nafasi ya kwanza huku Arsenal ikiwa nafasi ya 6 na alama 45.
0 comments:
Post a Comment