Bingwa wa mbio za magari duniani
Lewis Hamilton amesema anaamini kuwa gari mpya aina Mercedes Benz W09
aliyoifanyia majaribio itamfaa zaidi katika mashindano baada ya
kuijaribu gari hiyo katika kipindi hiki cha baridi.
Hamilton amesema sasa yuko tayari kwenda kushindana kwenye mashindano yam bio za magari yatakayofanyika nchini Australia.
0 comments:
Post a Comment