Eminem
Aka “Rap God” ametangazwa rasmi na Recording Industry Association of
America kuwa msanii aliyeuza zaidi ya kopi milioni 100 za nyimbo zake.
Wametangaza rekodi hii baada ya wimbo wa “Lose Yourself” kufikia kopi
milioni 10, huku colabo yake na Rihanna “Love the Way You Lie” ikiwa na
mauzo ya kopi milioni (12 million) na “Not Afraid” ni milioni (10
million).
“Congratulations to @Eminem, 107.5 million song awards. Three Diamond Songs. #RIAATopCertified.”
Eminem sasa ameuza kopi milioni 107.5 na kuvunja rekodi ya Taylor Swift ya kopi milioni 106.5 huku Rihanna akiongoza kwa kuwa na mauzo ya kopi za nyimbo milioni 121

0 comments:
Post a Comment