Tuesday 6 March 2018

Jose Mourihno apata shavu kuchambua soka kwenye kombe la Dunia


Bado miezi mitatu tushuhudie fainali za Kombe la dunia 2018 zitakazofanyika nchini Urusi, zikishirikisha timu 32 kutoka sehemu mbalimbali duniani, pamoja na kuwa Ligi mbalimbali bado zinaendelea sehemu mbalimbali duniani lakini presha na hamasa ya Kombe la Dunia 2018 imekuwa kubwa.
Kuelekea fainali hizo kocha wa club ya Man United raia wa Ureno Jose Mourinho ni miongoni mwa watu watakaokuwepo Urusi kwa ajili ya fainali za Kombe la dunia, Jose Mourinho amethibitisha kuwa atakuwepo katika fainali hizo baada ya kusaini dili na RT kuwa kama sehemu ya wachambuzi wa michuano hiyo kupitia TV akiwa pamoja na golikipa wa zamani wa Man United Peter Schmeichel.

0 comments:

Post a Comment