Monday 5 March 2018

Manchester City wampa Conte kwa kipigo cha 1-0

Klabu ya soka ya Manchester City imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya klabu ya Chelsea katika mchezo wa ligi Kuu Uingereza.

Goli la Manchester City limefungwa na Bernardo Silva dakika ya 46
Kwa matokeo haya Manchester City inaendelea kuongoza ligi hiyo ikiwa na alama 78.
Chelsea inabaki ikiwa na alama 53 na kuendelea kushikilia nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi hiyo

0 comments:

Post a Comment