Tuesday 13 March 2018

Mmiliki wa timu atinga na bastola uwanjani,ligi yasimamishwa



Ligi kuu ya Ugiriki jana imetangazwa kusimamishwa kwa muda usiojulikana kufuatia vurugu zilizotokea katika mchezo wa PAOK dhidi ya AEK Athens uliochezwa Jumapili. Sababu kubwa iliyofanya ligi hiyo kusimama ni kutokana narais wa klabu ya PAOK, Ivan Savvidis kuingia uwanjani na bastola kupinga maamuzi ya refa Giorgios kulikataa goli la timu yake lililofungwa dakika ya 90 ikisemekana kuwa ni offside lakini mchezo huo uliahirishwa masaa mawili badaye baada ya wachezajiwa AEK kugoma kurudi uwanjani.

0 comments:

Post a Comment