Monday 19 March 2018

Odinga aweka wazi mazungumzo yake na Rais Kenyatta



 Kiongozi wa Upinzani (NASA) kutoka nchini Kenya, Raila Odinga ameweka wazi walichoongea na Uhuru Kenyatta mapema mwezi huu

Moja ya makubaliano hayo ni kuwa wahanga wote wa ghasia za uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka 2017 watalipwa fidia na Serikali 
Aidha, Odinga amesema jambo jingine walilokubaliana na Rais Uhuru ni kufuta kesi za watu walioshiriki sherehe za kuapishwa kwake

0 comments:

Post a Comment