Monday 19 March 2018

Man United na Spurs nusu fainali FA



Timu ya Manchester United itakutana na Tottenham Hotspur uwanja wa Wembley katika nusu fainali ya kombe la FA England itakayozikutanisha timu hizo kali. Chelsea iliyoifunga Leicester City 2-1 katika mechi iliyodumu kwa dakika 120, itakutana na Southampton katika nusu fainali nyingine ya michuano hiyo.
Mechi zote mbili zinatarajiwa kuchezwa April 21 na 22 katika uwanja wa Taiga.

0 comments:

Post a Comment