Rais Magufuli ametoa onyo kali kwa Mtanzania yeyote atakayejaribu kuandamana. Amesema kitakachowakuta watahadithia
Amesema kuwa wapo wameshindwa kufanya siasa za kweli wamebakia kuandamana
-
Asisitiza kama wapo Baba zao wanatuma kuandamana wataenda kuwasimulia
0 comments:
Post a Comment