Hatua
ya 16 bora ya michuano ya UEFA Europa League ilichezwa usiku wa machi 8
kwa michezo nane ya kwanza kuchezwa barani Ulaya. Hatimaye Arsenal
yang'ara na kuitandika AC Milan 2-0, huku Dortmund ikikubali kulala kwa
2-1 dhidi ya Salzburg, CSKA Moskva ikikubali kipigo cha 1-0 toka kwa
Lyon, na Atletico Madrid ikiifunga Lakomotiv Moskva 3-0, Sporting Cp wao
wameifunga Plzen 2-0, nayo Marseille ikiibuka na ushindi wa 3-1 dhidi
ya Athletic Club, RB Leipzig yenyewe imeshinda 2-1 ndihi ya Zenit, na
Lazio imetoka sare ya 2-2 na Dynamo Kyiv.
0 comments:
Post a Comment