Monday 12 March 2018

Refa wa Afrika Mashariki ndani kombe la dunia 2018


Shirikisho la soka duniani (FIFA) limeonesha kuzidi kuwaamini marefa wa Afrika baada ya refa Aden Marwa Range kutokea ligi kuu Kenya kuchaguliwa kwenda kuchezesha kombe la dunia nchini Urusi kama muamuzi msaidizi. Maamuzi hayo ya FIFA yanazidi kuleta matumaini katika soka la Afrika upande wa waamuzi, Michuano ya kombe la dunia 2018 itachezwa kwa mwezi mmoja nchini Urusi kuanzia June 14 – July 15 2018.

0 comments:

Post a Comment