Rapa kutoka nchini Marekani Rick Ross athibitisha kutembelea nchini Kenya mwishoni mwa mwezi ujao kwaajili ya Tamasha kubwa la NRG wave.
Tamasha hill linatarajiwa kufanyika April 28 katika ukumbi wa Carnivore grounds huku wasanii kama kina diamondplatnumz kuongoza ndani ya tamasha hilo.
0 comments:
Post a Comment