Saturday 3 March 2018

Rick Rozey apoteza fahamu



Boss wa Maybach Music Group , Rick Ross amekimbizwa hospitalini jioni ya jana baada ya msanii huyo kupata matatizo ya kupumua na kupoteza fahamu.
Msanii huyo ambaye anasumbuliwa kwa muda mrefu na matatizo yana pneumonia.
Watu wa karibu na staa huyu wanasema Rozay alitakiwa kuonekana kwenye club flani mjini Miami ila walibidi watoe taarifa kuhusu hali yake ya afya baada ya Rozay kushindwa kabisa kupumua akiwa nyumbani kwake,

0 comments:

Post a Comment