Thursday 15 March 2018

Upasuaji mkubwa uliofanyika kwa Lissu waenda vizuri





 Upasuaji mkubwa wa mguu aliofanyiwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu umefanikiwa kwa kiwango kikubwa jijini Brussels, UBELGIJI.
Taarifa kutoka katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven anakotibiwa Mbunge huyo inasema jopo la Madaktari limefanikiwa kuurekebisha mguu wa Lissu
Upasuaji huu wa 19 ni muendelezo wa matibabu anayofanyiwa kiongozi huyo aliyeshambuliwa kwa risasi na ''Watu wasiojulikana'' Septemba 7 mwaka jana Mkoani Dodoma

  • Madaktari katika Hospitali walimshauri Lissu afanyiwe upasuaji huo baada ya kubaini kuwa mfupa wa juu ya goti ulikuwa ukiunga kwa kasi ndogo sana

0 comments:

Post a Comment