Wednesday 7 March 2018

Waziri wa Elimu Kenya ndani ya kashfa nzito



Waziri wa Elimu, Amina Mohammed amejikuta katika kashfa ya rushwa inayohusisha kompyuta ambazo Rais Uhuru Kenyatta alinunua kwa shule za sekondari

Kulingana na ripoti ya ukaguzi, Wizara iliyoongozwa na Amina Mohammed ilinunua kompyuta 3,320 kwa shule za sekondari lakini iliweza kutoa kompyuta 1,107 tu

Mkaguzi huyo alisema kuwa kompyuta zilizopoteza zilikuwa na thamani ya shilingi milioni 153 za Kikenya sawa na zaidi ya bilioni 3.43 za Kitanzania

Wizara hiyo pia ilionekana kuwa imetumia shillingi milioni 1 za Kikenya kwa safari licha ya ugawaji wa Shilingi 440, 000 za Kikenya.

0 comments:

Post a Comment