Wednesday 18 April 2018

Vyeti feki yaibukia Kongo


Serikali imewafukuza kazi Mahakimu 250 ambao waliajiriwa kwa kutumia vyeti feki na wengine waliotuhumiwa kupokea rushwa.

Imeundwa tume maalumu ya kuchunguza idara mbalimbali ili kuwaondoa maafisa wasiotimiza vigezo na masharti ili waondolewe katika shughuli za kiserikali

Kwa muda mrefu Asasi za Kiraia nchini humo zimekuwa yakilalamika kuhusu utendaji kazi wa Mahakama nchini na hatua ya kuwatimua inaonekana kuwa Serikali imetendea kazi malalamiko yao

0 comments:

Post a Comment