Thursday 3 May 2018

Kanye west azidi kuwa gumzo Marekani



Mashabiki wa Kanye West wapo kwenye huzuni kubwa sana wakiona rapper huyo kila siku anavyozidi kupotea kwa kufanya vitu ambayo haviendani na yeye kutokana na aina ya maisha aliyojenga mwanzo kwa mashabiki wake.

Kanye West alikua sio mtu wa kutafuta attention na scandals na kufanya interview mara kwa mara kuelezea maisha yake, bali alikuwa mtu wa kukosoa vitu vinavyurudisha mziki wa Hip Hop nyuma kupitia mashairi yake.

Rapper Meek Mill kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost picha yenye maandishi "Rip old Kanye" akimaanisha kuwa Kanye West wa zamani ametoweka na huyu aliyekuepo sasa hivi sio yule Kanye tuliemzoea akifanya hit song kama Heartless, Good life, Diamond, Turn of the light, etc

"To whom much is giving much is tested .... get arrested I guess until he get the message.. I feel the pressure under more scrutiny and what I do “act more stupidly”  #oldye #wemissyoubro them bars touched me in my cell!" Ameandika Meek Mill
.

0 comments:

Post a Comment