Tuesday 6 March 2018

Rihanna ndani ya penzi jipya na Bilionea


Kwa muda mrefu mashabiki wa Staa wa Pop Rihanna  kutoka nchini Maekani walikuwa wamajiuliza ni nani anayetoka na msanii huyo lakini jibu limetokea baada ya mwanadada huyo kuweka wazi mahusiano yake na Mfanya biashara Billionea Hassan Jameel alivyokuwa anahojiwa na mtandao wa TMZ.

Hassan ni mfanya biashara anayetoka kwenye familia tajiri sana duniani, familia yao inathamani ya Pound Bilioni 1.1 na jarida la Forbes linawataja kuwa familia ya 12 ya Kiarabu tajiri zaidi duniani.
Rihanna aliwahi kuwa na mahusiano na mastaa kama Chris Brown, Drake, Travis Scott na leonardo dicaprio.

0 comments:

Post a Comment