Saturday 5 May 2018

Timbulo na Meda wamaliza bifu lao


Wasanii wa bongo fleva Timbulo na Meda wamemaliza tofauti zao kupitia kipindi cha Friday Night Live kinachoruka Eatv. Timbulo alitafutwa kwa njia ya simu katikati ya maongezi wakati Meda akifanya interview ya kutambulisha video yake mpya, na kusema yeye hana tofauti na Meda alishamsamehe kwa matukio aliyofanya nyuma.
.

0 comments:

Post a Comment