Saturday 5 May 2018

Mashabiki wamshuku bodyguard wa Kylie Jenner kama baba wa mtoto wake


Watu wanasema Travis Scott analea mtoto asiye damu yake tangu Kylie Jenner aanze kuweka picha za mtoto wao Stormy katika mitandao ya kijamii. Stormy kadri anavyozidi kua mkubwa anakuwa na muonekanao wa watu wa Asia na kusababisha watu kuanza kumfananisha mtoto huyo na bodyguard wa Kylie Jenner aitwae TimChung ambae ana asili ya Asia

0 comments:

Post a Comment