Tuesday 22 May 2018

Uhispania yataja kikosi chake



Kocha wa timu ya Taifa ya soka ya Uhispania, Julen Lopetegui ametanganza kikosi cha wachezaji 23 watakaoshiriki Kombe la Dunia nchini Urusi kuanzia Juni 14, 2018

Kikosi hicho kinawakosa Wachezaji kama Hector Bellerin, Javi Martinez, Marcos Alonso, Ander Herrera, Sergi Roberto, Alvaro Morata, Juan Mata na Cesc Fabregas

Uhispania wataanza michuano hiyo mnamo Juni 15 kwa kukutana na Ureno

0 comments:

Post a Comment