Tuesday 15 May 2018

Wimbo wa Gambino "This is America" Sasa ni Nambari 1 chati za billboard


"This is America" ,
Hii ni Amerika nyimbo ambayo imekuja kwa kasi na kuishusha nyimbo ya Drake kutoka mahali pa juu katika chati za Billboard. Drake ambaye ameweza kudumu katika nafasi ya kwanza kwenye Billboard Hot 100 kwa wiki 15, na "God's Plan".
 
Wimbo umekuwa katika nafasi za juu zaidi katika utazamwaji wake jambo ambalo limeifanya kuangaliwa na watu takribani milioni 100 siku ya leo.
 Toka wimbo huu umetoka umeonekana kupendwa zaidi na mamilioni wa wanaotumia mitandao ya kijamii, na hii imetokana na video yake na style za kuchea zilizotumika kuonekana ni za ubunifu wa hali ya juu.



0 comments:

Post a Comment