Tuesday 15 May 2018

Mwonekano wa Nike KD 11 za Kevin Durant


Ikiwa leo timu ya kikapu ya Golden State Warriors wanakutana na  Houston ndani ya Mchezo wao wa 1 katika mchezo wa kikapu kanda ya Magharibi wa 2018, Mchezaji wa GSW kaja na kiatu kingine cheye saini ya jina lake Kevin Durant, KD 11.

Katika siku za usoni kiatu hiko cha Kevin Durant kinatazamiwa ktumika zaidi katika mechi za Golden State worriors kutokana tu kukidhi vigezo vyote vya kuchezewa katika viwanja vya kikapu.


Ingawa hakuna kitu kinachohakikishiwa, ishara zinaonyesha Durant kuanzisha mfano wake wa saini mpya hivi karibuni kama Warriors wanafanya kushinikiza kuelekea kuonekana kwa NBA ya Mwisho ili kuondoa upepo wa mashabiki.

0 comments:

Post a Comment