Saturday 2 June 2018

Asap Rocky akana kumpa umbea Pusha T



Kiongozi wa kundi la Asap Mob, rapper Asap Rocky kupitia twitter amekana rumors zinazoendelea kwenye mitandao yeye ndio aliempa habari Pusha T kwamba Drake ana mtoto na kumpa idea ya diss track ya "The story of Adidon".

Asap Rocky ni rafiki wa karibu sana kwa Drake na Pusha T jambo lilomponza kuonekana yeye kavujisha siri.
.
.

0 comments:

Post a Comment