Saturday 2 June 2018

Spotify yakiri kufanya makosa kutoa ngoma za R Kelly,XXXTentacion



Mkurugenzi mtendaji wa mtandao wa muziki wa Spotify Daniel Ek akiri makosa juu ya kuchukua maamuzi ya haraka ya kuwafutia R.Kelly na XXXTentacion katika mtandao huo.

Kutokana na makosa hayo yaliyofanyika kampuni hiyo kubwa ya kuuza miziki Marekani imeamua kurudisha ngoma zote za msanii R Kerry na XXXTentacion na kusema kuwa watakuwa wanapitia kabla kutoa maamuzi magumu.

Hata hivyo mtandao huo umesema kuwa wataendelea kupitia miziki yote yenye lugha za uzalilishaji ili kusaidia jamii.
.

0 comments:

Post a Comment