Thursday 7 June 2018

Golden State Worriors 'watoboa tundu' la Cavelairs



Timu ya Kikapu ya Golden State Warriors imeibuka na ushindi wa vikapu 110-102 dhidi ya Cleveland Cavs katika 'game3'

Golden ambayo kwa sasa imeonekana kufanya vizuri katika mechi ya leo inajiwekea nafasi nzuri ya ushindi katika fainali za kikapu nchini Marekani.

Katika mechi ya leo mchezaji kutoka Golden State, Kevin Durant ameonekana kuwa kinara baada ya kupiga pointi 40,reb 13 na 7 ast.

0 comments:

Post a Comment