Thursday 7 June 2018

Beyonce, Jay Z waitendea haki show yao mpya ya OTR2



On The Run II Tour au OTR2 Tour ya Beyonce na Jay Z ya kupromote album ya 6 na 13 kutoka kwa wawili hao Lemonade na 4:44 ilianza siku ya jana katika uwanja wa Principality huko Cardiff, Wales.

Hii ni tour ya pili ya Beyonce na Jay-Z pamoja toka walipofanya 2014 On The Run tour. Tour yao itaendelea na kuja kuisha July 25 Ohio, USA. Katika show ya jana walimpandisha Ed Sheeran jukwaani na kuperform nyimbo ya "Perfect" wakati Jay-Z na Beyonce wakiwa wamekumbatiana.



Pia katika show hiyo Beyonce na Jay-Z kwa mara ya kwanza walionyesha picha ya watoto zao mapacha Sir na Rumi jukwaani.

0 comments:

Post a Comment