Saturday 2 June 2018

Idris 'Ampost' rasmi mpenzi wake



Huyu ndio mpenzi mpya wa Idris Sultan
Baada ya kuficha kwa muda mrefu bila kumuweka mpenzi wake public, hatimae ex-bba winner Idris Sultan ameweka hadharani penzi lake jipya na Mariyah Hussein.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram aliweka picha yake na mpenzi mpya ikiwa sura imefichwa na caption "Aljumaa Kareem 😍 #afichwehuyo"

0 comments:

Post a Comment