Tuesday 12 June 2018

Iggy Azalea kuja na Albamu mpya



'Female Rapper' Iggy Azalea ni mmoja kati ya wasanii ambao wameonekana wapo kimy sana katika kaziya muziki kwa muda mefu,kupitia ukurasa wake wa Tweeter Iggy ameibukia na kutangaza uio wa albamu yake mpya itakayoitwa “Surving the Summer”.


Album ya Iggy ilikuwa imepangwa kutoka Tarehe 2 mwezi wa sita kabla ya kusogezwa mbele hadi tarehe 30 Juni na sasa imesogezwa tena hadi Julai 6, Iggy amesema tarehe zimebadilishwa badilishwa kwasababu label yake ya Island wanabadilisha Rais mwezi huu

0 comments:

Post a Comment